Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,555
- 4,758
Wasalaam.
Kwa hakika CCM bado kuna watu weledi na wazalendo kuliongoza taifa, lakini wametishwa na kundi la wahuni wakiongozwa na mzee yule aliejilimbikizia mali kwa hila na mikataba mibovu na bado hajashiba anaendelea kuifisidi nchi bila huruma. Mzee yule na genge lake ni sawa na mchwa anakula lakini hashibi.
Mwamba huyu hapa, hii ni tunu ya taifa iliyobaki na sio wale wanaokula kwa urefu wa kamba.