Huyu si anaweza kupoteza maisha?

Huyu si anaweza kupoteza maisha?

Sitachoka

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
3,030
Reaction score
1,306
Nina mpenzi wangu anakaa miezi
miwili no bleeding mara baada
ya
mwezi mmoja,siku zingine
anakaa
hata 6 months napia wakati mwingine
hutokwa na damu nyingi sana
mpaka kufikia kuanguka na
kuzimia na kupata maumivu
makali sana ya tumbo hii ikoje wataalam wa magonjwa ya akina mama
Kuna muda hubleed 4 more
than 14 days with heavy
bleed ...

Tafadhari mwenye kufahamu cha kufanya anisaidie nimuokoe mchumba wangu

naomba kuwasilisha Wanajamvi, Kungurumweupe, MziziMkavu n.k
 
Last edited by a moderator:
mahali pengine wanasema akizaa huwa cycle yake inarecover. Sasa sijui kama hiyo inaweza kuwa ni tiba ya kudumu au ya muda.
 
mahali pengine wanasema akizaa huwa cycle yake inarecover. Sasa sijui kama hiyo inaweza kuwa ni tiba ya kudumu au ya muda.

nways ngoja tusubiri wengne wanasemaje
 
Mpeleke kwa daktari wa wanawake. Ni hormons tu hizo kama sio uvimbe. Akisaidiwa ndani ya muda mfupi tu atakuwa ok.
 
pole kwa matatizo yanayomsibu mchumbako,,
pili moja kati ya elimu ambayo mwanamke anatakiwa kuwa nayo ni elimu ya flow yake kama hajui hili ina maana kwa ufahamu wangu hajasoma,
tatu, maswali,,,ya msingi
1) alishawahi kuwa na flow yenye inaeleweka? tangu avunje maungo i mean. na je huwa ukawaida wake ni upi
alikua anakwenda for how long, many days was it regular i e kila mwezi alikua anaona na cycle yake ni ya siku ngapi?
2) ingetakiwa liwe la kwanza kuulizwa ana umri gani na tatizo limekaa kwa muda gani hadi sasa
3)amewahi kutumia uzazi wa mpango vidonge, au sindano?
4)hayo maumivu ya tumbo vipi? na last day aliona flow yake ilikua ni gani?

kwa ufupi,,,
matatizo ya flow kwa wana wa kike yapo tena sana, jamii kubwa ya watanzania wake wanasumbuliwa nayo
ilihali wengine wanapata maumivu makali kabla, wakati na baada ya flow (dysmenorrhea) wengine wanapoteza damu nyingi kiasi cha kuwafanya wafaint, na matatizo mengine, (menorrhagia)
mwanamke mwenye anatumia uzazi wa mpanga especially sindano huwa wanapata matatizo ya flow, either zinatoka bila mpango maalumu, lakin huwa kwa kawaida ni damu kidogo, flow in btn menses, kama anapata flow na damu ni nyingi kiasi cha kufaint kama wa kwako kuna haja ya uchunguzi wa kitaalamu
gynacological examination
ni vema pia kujua kwamba hakuna wanawake wa2 wenye flow zinafanana kila moja na ya kwake, maumivu yanatofautiana na hii inatokana na sensitive ya mwili wa mtu,,,
ni vema pia kujua PMS wengi wanajua nikisema hivo, namaanisha Premenstrual syndrome
kwa wataalamu wa afya walioko vijijini ambako upatikanaji wa vifaa na madawa ni mgumu huwa anaweza kutumia vidonge vya uzazi,, hivi vina vimelea sijui lugha rahisi ni gani namaanisha zile hormones zinazozalishwa kuregulate flow patern [h=3]Birth Control Pills[/h]vidonge vingine ni [h=3]Primolut N (norethisterone) hivi pia ni maarufu kuregulate flow,[/h]ni muhimu kwa huyu mchumba ako kutumia njia mbadala za kuongeza damu, namaanisha diet, vidonge au syrup kama damu iko chini sana baada ya kumwona mtaalam atakuambia anaweza pia kupata sindano
kwa maumivu anayoyapata inategemea na mhudumu dawa zipo nyingi kama upo mjini na kauwezo kapo [h=3]MEFTAL [/h]ni dawa nzuri, lakini akitumia anyform ya diclofenac ie [h=3]DICLOPAR Diclofenac zinasaidia[/h]
kwa maelezo zaidi hakikisha unafika kituo cha kutolea huduma za afya karibu, ikiwezekana dr anayehusika na mambo ya akina mama atakuwa wa msaada,
 
smallvile kwanza nikwambie kuwa ili tatizo hakuwa nalo kabisa ila limekuja kujitokeza baada ya kujifungua mtoto miaka 3 iliyopita. Before hajazaa alikuwa anatumia kweli mambo ya uzazi wa mpango kwa miaka 5 iliyopita na manstration cycle ilikuwa ni ile ndefu siku 28, umri wake ni miaka 30 sasa pia kiukweli wataalamu tumewatembelea wengi sana na nikujulishe tu kuwa mpaka India nimempeleka lakini mabadiliko hayaonekani kabisa na hali kiukweli ni mbaya kiasi

Anatibiwa ss hivi pale karibu na
Clouds kuna clinic ya foreigners &
they r charging in dollers, very
expensive but no results up 2
now ...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.@Mwea Pole sana kwa huyo mchumba wako itabidi umpeleke Hospitali wakamchunguze ili wapate kujuwa ana matatizo gani kisha uje hapa utupe feedback ndio tunaweza kutoa dawa zaTiba mbadala. Mpeleke

Hospitali ya Rufa muhimbili huko kuna wataalam mabingwa wataweza kumpima na kumchunguza kwa kina na

kutoa dawa na atumie hizo dawa asipo pona njoo hapa utuambie umefikia wapi tutakupa dawa zetu za Asili na

tatizo lako inshallah litaondoka Mpe pole zangu mchumba wako.
 
Mkuu.@Mwea Pole sana kwa huyo mchumba wako itabidi umpeleke Hospitali wakamchunguze ili wapate kujuwa ana matatizo gani kisha uje hapa utupe feedback ndio tunaweza kutoa dawa zaTiba mbadala. Mpeleke

Hospitali ya Rufa muhimbili huko kuna wataalam mabingwa wataweza kumpima na kumchunguza kwa kina na

kutoa dawa na atumie hizo dawa asipo pona njoo hapa utuambie umefikia wapi tutakupa dawa zetu za Asili na

tatizo lako inshallah litaondoka Mpe pole zangu mchumba wako.

Ahsante sana Mdau MziziMkavu kwa ushauri wako, nitakwenda hapo mhimbili 7bu cjawa kumpelekapo
 
Last edited by a moderator:
ulikua hujatoa maelezo ya kutosha sasa sasa nimekuelewa, kutokana na maelezo ulotoa kwa sasa inaonekana mchumba ako, ana tatizo kweli@ naomba nisiwe mwingi wa maneno huyo anahitaji uchunguzi lakini naamini baada ya kutoka huko india unakosema mlienda lazima waliwapa majibu flani, najua maelezo ya mgonjwa ni confidential lakin kama hatuma majibu toka sehemu zote alizotibiwa tutabaki kufikiria katika upeo wa chini saana,,,
nimtakie afya njema huyo bibie
 
Back
Top Bottom