pole kwa matatizo yanayomsibu mchumbako,,
pili moja kati ya elimu ambayo mwanamke anatakiwa kuwa nayo ni elimu ya flow yake kama hajui hili ina maana kwa ufahamu wangu hajasoma,
tatu, maswali,,,ya msingi
1) alishawahi kuwa na flow yenye inaeleweka? tangu avunje maungo i mean. na je huwa ukawaida wake ni upi
alikua anakwenda for how long, many days was it regular i e kila mwezi alikua anaona na cycle yake ni ya siku ngapi?
2) ingetakiwa liwe la kwanza kuulizwa ana umri gani na tatizo limekaa kwa muda gani hadi sasa
3)amewahi kutumia uzazi wa mpango vidonge, au sindano?
4)hayo maumivu ya tumbo vipi? na last day aliona flow yake ilikua ni gani?
kwa ufupi,,,
matatizo ya flow kwa wana wa kike yapo tena sana, jamii kubwa ya watanzania wake wanasumbuliwa nayo
ilihali wengine wanapata maumivu makali kabla, wakati na baada ya flow (
dysmenorrhea) wengine wanapoteza damu nyingi kiasi cha kuwafanya wafaint, na matatizo mengine, (
menorrhagia)
mwanamke mwenye anatumia uzazi wa mpanga especially sindano huwa wanapata matatizo ya flow, either zinatoka bila mpango maalumu, lakin huwa kwa kawaida ni damu kidogo, flow in btn menses, kama anapata flow na damu ni nyingi kiasi cha kufaint kama wa kwako kuna haja ya uchunguzi wa kitaalamu
gynacological examination
ni vema pia kujua kwamba hakuna wanawake wa2 wenye flow zinafanana kila moja na ya kwake, maumivu yanatofautiana na hii inatokana na sensitive ya mwili wa mtu,,,
ni vema pia kujua PMS wengi wanajua nikisema hivo, namaanisha
Premenstrual syndrome
kwa wataalamu wa afya walioko vijijini ambako upatikanaji wa vifaa na madawa ni mgumu huwa anaweza kutumia vidonge vya uzazi,, hivi vina vimelea sijui lugha rahisi ni gani namaanisha zile hormones zinazozalishwa kuregulate flow patern [h=3]
Birth Control Pills[/h]vidonge vingine ni [h=3]
Primolut N (norethisterone) hivi pia ni maarufu kuregulate flow,[/h]ni muhimu kwa huyu mchumba ako kutumia njia mbadala za kuongeza damu, namaanisha diet, vidonge au syrup kama damu iko chini sana baada ya kumwona mtaalam atakuambia anaweza pia kupata sindano
kwa maumivu anayoyapata inategemea na mhudumu dawa zipo nyingi kama upo mjini na kauwezo kapo [h=3]
MEFTAL [/h]ni dawa nzuri, lakini akitumia anyform ya diclofenac ie [h=3]
DICLOPAR Diclofenac zinasaidia[/h]
kwa maelezo zaidi hakikisha unafika kituo cha kutolea huduma za afya karibu, ikiwezekana dr anayehusika na mambo ya akina mama atakuwa wa msaada,