adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
- Thread starter
- #21
Sawa sawa, kuna rafiki yangu watu kutoka nje walijifanya shirika la kikirsto kutoa misaada wakamtumia Wasap picha vitu vya thamani kama Saa kali ,Lap top ,Smart phone ,Msalaba wa dhahabu nk kuwa wanataka kumtumia .Mwishowe akasema kuwa wao safari yao inaishia Ghana kwa africa kwa hiyo tuwatumie mtonyo kigogo wasafirishe hizo Zawadi.Ukiendelea kumchatisha atakwambia utume hata laki ya kukuunganisha kwenye hiyo job, yeye hana ndugu mpaka akutafute wewe asiyekufahamu? Shituka ndugu utaliwa kichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nikamwambia hao matapeli tukaanza kuwajibu ovyo na wao wakarudisha matusi mpaka wakati wakati wakati wakatublock .