Huyu sio mwizi au jambazi ni Mbunge

Huyu sio mwizi au jambazi ni Mbunge

Mtu amwite Rais Mbwa.?
Yani Maana yake kenya ni nchi ya ma mbwa..
Trump na obama waliitwa muth********z ina maana wamarekani wanafanya hivyo kwa mama zao ? Ni hasira tu mkuu the govt should understand watafunga wangapi?
 
Mbona wengine huku kwetu wanawaita watanzania wenzao wapumbavu na malofa, wengine wanawaita wapumbavu kabisa lakini hawajachukuliwa hatua yeyote
....kwa sababu ni wapumbavu kweli !
How come mtu uliyemuimba fisadi, akaje kukuamrisha 'zungusha mikono zungushaa !' .....au umpigie deki barabara.
 
Rais akikuita lofa au mjinga na wakati no mjinga kweli kwani kuna shida ati wajameni???
tapatalk_1506230286614.jpeg

.....au ukajitangaza mwenyewe, au namna gani !?
 
WaAfrika tunataka Demokrasia bila ya kujua Demokrasia ina mipaka na taratibu zake. Demokrasia sio matusi na kejeli katika majukwaa ya Siasa. Babu Owino and the likes ni mfano tosha wa wahuni waliojificha nyuma ya mwamvuli wa Siasa na kuinajisi Demokrasia.
Huwezi kumuita Rais wa nchi Mbwa ukategemea vyombo vya Dola vikuletee "Gift basket"!

UNGEJUA MAANA YA DEMOCRACY HATA USINGEPOVUKA HIVYO

MIMI NIKIKUITA MBWA JE UNAKUWA MBWA KWELI?

UHURU WA KUJIELEZA BILA KUINGILIA UHURU WA MWENZIO. UNGEJUA MAANA YAKE USINGEPOVUKA

NIKISEMA WEWE MWIZI, NAKUKUFANANISHA NA MNYAMA WAZANI HAYA MAMBO NI SAWA?

ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
 
UNGEJUA MAANA YA DEMOCRACY HATA USINGEPOVUKA HIVYO

MIMI NIKIKUITA MBWA JE UNAKUWA MBWA KWELI?

UHURU WA KUJIELEZA BILA KUINGILIA UHURU WA MWENZIO. UNGEJUA MAANA YAKE USINGEPOVUKA

NIKISEMA WEWE MWIZI, NAKUKUFANANISHA NA MNYAMA WAZANI HAYA MAMBO NI SAWA?

ELIMU ELIMU ELIMU ELIMU
Wewe ni mmoja kati ya hao niliowazungumzia hapo awali.
Pathetic swine!
 
Atawashinda mchana kweupe. Lawyers watacheza na maneno. He was "smart" enough not to mention names. Wanaweza kusema kwa kutamka "wewe ni nani...." alimaanisha yeyote atakayetaka kung'ang'ania madaraka ya aina yoyote ile. Usicheze na advocates wewe.
 
Back
Top Bottom