Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
Mwaaaa mwaaaa...miss you too
Busu lako limenichanganya dear nafunga office nikufwate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaaaa mwaaaa...miss you too
Akufunguka live kama anataka kugongwa ila sasa jaman umbembeleze kidume mwenzio akupelek driving school na akitak kumfanya lolote yupo tayar duh, huu ukahaba hata akina wema hawawez kuufanya
Watu wengine kweli hawanaga akili anaenda driving wakati hata gari hana na hana mpango wakupata
He hata ada ya udereva hana???
Hatari...
He hata ada ya udereva hana???
Hatari...
Busu lako limenichanganya dear nafunga office nikufwate
umeonaeeeeeeh!supastaa huyo jamani!
Njoo nimejaa toop pale mahali petu
Watu wanawataman sana wasanii wawapo kwenye videos waki shine, ila maisha yao halisi ni aibu na kinyaa tupu, wanaishi kwa nguvu za wanaume wenye pesa zao , sanaa inawap pesa ya kubadilisha nguo tu pale kwa robby one
Naja hupesi honey nawashangaa hao wauza sura kumbe hata hela za simu hawana watu tunamiliki mikoko na kusomesha ndugu
Magari sio tatizo akina chief kiumbe wapo kwa ajili ya kuwapa magar buree, mbona ndomo alipewa??
na wasanii wengi wanaendeshaga magar ya watu, mpaka sasa ivi sidhan kama uwoya,wema,lulu,kajala hemedy na wasanii wengine walishawah kununua magar yao binafs kwa pesa zao, hii ndo bongo, we jifunze kuendesha gar tu, magar yapo na watoaj wapo wanawasubir wadau tu, wolper nasikia prado yake alinunua kwa mkopo
Nasikia chief akishagugonga anakunyang'anya
Magari sio tatizo akina chief kiumbe wapo kwa ajili ya kuwapa magar buree, mbona ndomo alipewa??
na wasanii wengi wanaendeshaga magar ya watu, mpaka sasa ivi sidhan kama uwoya,wema,lulu,kajala hemedy na wasanii wengine walishawah kununua magar yao binafs kwa pesa zao, hii ndo bongo, we jifunze kuendesha gar tu, magar yapo na watoaj wapo wanawasubir wadau tu, wolper nasikia prado yake alinunua kwa mkopo
Umeona eeeh...tatizo ni show off na mashindano ndio vinawatesa
Umeona eeeh...tatizo ni show off na mashindano ndio vinawatesa
Ndo ivo binamu, kama na wewe hujui ku drive ndo ujifunze kabisa, maana magar yapo ya kumwaga, maana kuna mwarabu kule upanga anamilik yard ya magar, watu wanajifaidia tu magar, kama unamtaka namba yake ni 068698__85 hiiii aya sasa kaz kwako
Ndo ivo binamu, kama na wewe hujui ku drive ndo ujifunze kabisa, maana magar yapo ya kumwaga, maana kuna mwarabu kule upanga anamilik yard ya magar, watu wanajifaidia tu magar, kama unamtaka namba yake ni 068698__85 aya sasa kaz kwako
Busu lako limenichanganya dear nafunga office nikufwate