Huyu Steve Nyerere ni nani...?

Hii post nimeiona kabla sijafungua huu uzi nilishamjua mhusika wa shati,nimefungua kumbe ndiye kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha haaaaa le shati la kufunika vitz
 
Wasiokuwa wazalendo kumbe ni wengi hivi!!!!!!
 
Nikiangalia Steve nyerere kipaji chake anavyomuigiza Mwalim Julias Kambarage Nyerere ni wazi kwamba ana kipaji cha kipekee. Erick omondi alivyomuigiza rais Magufuli amejitahidi lakini hakumpatia sana.
Marehemu Kanumba na Rey walitambua kipaji cha Steve Nyerere wakaamua kutuletea kipaji hiki ndani ya bongomuvi.
Aongeze juhudi na ubunifu zaidi katika kazi zake atafika mbali.
 
Kumbe na yeye anafanya stand up comedy dah njaa mbaya sana aisee... ata kuigiza tu uwa haelewek sasa uko si ndo tabu.. pia sisi wabongo ukiweza hiki unataka na kile kiwe chako hata kama uwezi kuwa nacho hata pilipili uwa nae kavamia fani hana ubunifu kabisa
 
Tena ni mpumbavu!anachafua jina la baba Wa taifa!!!mbwa kachoka la LUMUMBA
 
Steve nyerere anaweza kumchekesha mtu anayependa kuchekacheka ovyo, Erick anamchekesha mtu anayependa kucheka na anajuajua mambo,.Trevor anaweza kumchekesha mtu asiyependa kucheka ila ni mjuzi wa mambo.
 
Eti wakiitwa wasanii na yy anajitokeza.
 
Huyu ana umaarufu gani kumshinda Eric Omondi?

Anajipa kick za kijinga tu.
 
Huyo Steve sanaa haiwezi afadhali kidooogo na kwa mbaaali Mc Pilipili.
 
steve ni mjinga mjinga flani hiv kazi yake inasemekana ni ukuwadi
 
INA MAANA MBINGU NA ARDHI HAZIWEZI KUKUTANA.SIELEWI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…