Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

Umeshasema tajiri, ana uwezo wa kukodi hata helicopter au charter plane.

Ndani ya mkutano hata wasanii walikuwemo, Vyama rafiki......

Tumia kichwa chako kufikiri, sio kutunzia meno na kubebea nywele
 
Wewe ndio hujamuelewa kwenye point ya saa8 yupo mkutanoni Dom na saa 10 yupo Dar uwanjani. Kwa matajiri ni karibu,ila kwa masikini ndio Kuna umbali. Tajiri anapanda ndege chap,masikini ajipange na special hire za bei cheap.
Cheo na nafasi ndani ya Chama ni ipi?
 
Ni Gharib Said Muhammad (GSM)
Naomba wana jamvi nisaidie huyu Tajiri ana cheo/nafasi gani kwenye Chama?
Saa nane mchana alikuwa Dodoma kwenye mkutano wa CCM saa 10 yupo Dar uwanjani hii inawezekanaje ?
View attachment 3205950
Cc
Tlaatlaah
chiembe
ChoiceVariable
milele amina
Lucas Mwashambwa
johnthebaptist
Gentleman hao ni miongoni mwa wageni waalikwa kama alivyo bozi boziana, viongozi wa dini, mabalozi, wawakilisha wa vyama marafiki wa nje na ndani ya nchi n.k.

Mikutano muhimu na maalumu kama hii, huwa sio ya dharura, ni mipango mikakati inayoundiwa kamati kabisa kuiandaa.

Infact,
mkutano huu maalumu wa CCM una wageni waalikwa wana CCM wasio viongozi na wageni wasio wana CCM zaidi ya mia3.
Tukijaaliwa uhai, kama tutakua humu JF, tutapeana kadi za kuhudhuria mambo haya ya kihistoria 🐒
 
WaTz ndio maana mnakufa mapema kwa umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi... 💩💩💩 sasa mnamchukia GSM ndie kawanyima ajira au kuishi maisha mazuri
 
Kama walivyo wale wazungu uliowaona.
Gsm ni mwananchama hai wa ccm, mdau, pamoja na ni figure ya ccm. Ndio maana alikuwepo pale, kama ilivyo ahmed ally na wasanii kama diamond au alikiba. Kuachana na kuperform, hawa hufanya lolote wenye uwezo nalo kusaidia au kushiriki azma zozote za ccm
 
Hawa wanajipachika kwenye Chama Ili waibe Vizuri..Huwa wanakwepa Kodi saaana hawa,,mfano Ni Manji ,,alijipachika kwenye Chama Ili aendelee kunyonya Nchi Yetu.Tuwakatae Matajiri wajanja wajanja.wapo Hapo kimaslai tuu


Haiingii akilini Tanzania ina vituo vya mafuta kila baada ya kilometa 10 vya makampuni tofauti tofauti. Bandari , Migodi ya madini na misitu,wanayama ,milima Kilimanjaro usiohitaji service , Samaki wa kumwaga ,ardhi kubwa , mitandao ya simu , TANESCO kwa wateja milion Tano uhakika wa kununa luko angalau ya elfu moja kila siku kwa siku ni bil.5 . Cha ajabu Mama yupo Bize kukopa na kushindwa hata kutoa huduma bure au kwa bei nafuu kwa wagonjwa wa figo . Watu wanafilisiwa kwa maginjwa yasiyoyakuambuliza kwa gharama kubwa za matibabu tena kwenye hospitali za umma ili tu kuwaneemesha madaktari wachache wanaotaka kutajirika haraka haraka wajenge hospitali zao huku huduma kwenye hospitali za umma zikizorota . No one cares . Kima mtu anaangalia mambo yake na **** kwa urefu wa kama yake . Na mbaya zaidi yule mkuubwa sidhani kama hata kama anayo nadhani yeye anakula popote maana haijafungwa kamba .

Tunamtaka Lisu ndani na nje ya CHADEMA .
CHADEMA mtakosea sana mkituletea mtu asiye na tofauti na watu wa CCM.
 
Wajumbe halali wa Mkutano Mkuu si zaidi ya 2000; lakini hapo ukumbini na maeneo yaliyotengwa nje walikuwepo zaidi ya watu 5000. Hao waliozidi ni washabiki, wadau, wageni waalikwa nk...labda Ndg. GSM ni mmoja wa hao. Kuhusu kusafiri, ukiacha usafiri binafsi, hata kwa SGR...Dar to Dodoma ni chaaap...!
 
Back
Top Bottom