Huyu tekno anajua sana aisee

Huyu tekno anajua sana aisee

Iffa iffa oh baby iffa iffa
Baby you too sweet fajaba
My baby dance to the lagbaja
I go take you to gwagwalada
Iffa iffa oh baby iffa iffa
Baby you too sweet fajaba My baby dance do the lagbaja
Let me take you to gwagwalada.
 
Baby Pana
They say you like wahala oh
I get wahala oh
Baby Pana
Anywhere that you go
I will follow you dey go Baby Pana
They say you like cassava
I get big cassava
Baby Pana
My love for you will never die, never die
 
Ni kweli jamaa huu mchezo anauweza, mwanzo nilijua kubahatisha duro na wash, ila alivyotoa ule mzigo 'where' nikamuelewa rasmi
 
Kuna moja yuko tekno na selebobo Maria hatareee sana jamaa anajua.
 
Hyo ngoma ya "pana" nimemuelewa zaidi hii ngoma naipenda kama ile ya wizkid "ojueleguba" ilivo toka
 
Mi napenda zile dance moves, tengere dance za kwenye where. Yani sichoki kuangalia hii nyimbo.
 
Wash ni wimbo wangu bora kwa sasa.. Tokea mwishoni mwa mwaka jana
 
Back
Top Bottom