Legeza mwendo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 519
- 653
Kwani yeye na messi nani fundi?Yani ngoma zake ni hatari tupo
Wash
Duro
Na zote zolizopita
Sasa kuna hii Pana kila nikiisikia nasema jamaa huu mchezo anaoucheza kauwezea
Kuna Diana ipo jikoni
hahahaa mkuu sijui ngoja niende jikoni kwake nikaangalieKwani ile john ameshaiipua?
"love is what I see, when I look at you " Huyu jamaa ni nyoko!Ile ya your loveis beautiful, your love is wonderful...
Jamaa ni mkali sana aisee
Where kaua asee yani huu wimbo siuchoki kuutizamaNi kweli jamaa huu mchezo anauweza, mwanzo nilijua kubahatisha duro na wash, ila alivyotoa ule mzigo 'where' nikamuelewa rasmi
Pana ni kiboko pia