Huyu Traffic Amenichekesha Kweli.

Huyu Traffic Amenichekesha Kweli.

St Lunatics

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
6,644
Reaction score
11,174
Leo nimepita mitaa ya Posta nikasimamishwa na traffic mmoja walikuwa wapo kama 4. Huyu mmoja akaniuliza naelekea wapi? Nikamwabia naelekea Jangwani kuna mtu namfata akaniomba nimpakie na nimshushe mitaa ya Fire. Sasa mimi gari yangu sipendi kushusha vioo lakini huyu bwana mkubwa kuingia tu kashusha vioo na kuweka mkono wake kwenye mlango. Nikamuuliza vipi mzee hupendi a/c au? Alijibu aahhh kumbe umewasha a/c samahani ndugu. Hafla sura yangu ilijaa ile mistari kwenye uso kama mzee wa miaka 60, na kutafakari hii harufu inatokea wapi. Ilinibidi nimuulize vipi mkuu umepitiwa na haja(umepufff) au? Huku nae alianza kufunga pua akizania mimi ndio nimeachia mzinga wa nuklia. Kuangalia pembeni yetu kumbe lilikuwepo gari la maji taka(gari la kusafisha vyoo). Tukabaki kucheka tu huku mimi nikimwambia nilizania yeye na yeye akisema alizania mie.😀😀😀😀
 
Kiukwel sijaelewa lengo la hii thread.Kwanza sijaelew umechekeshwaje hapo!!Yan kumdhania traffic kupumua ndo kichekesho?
 
Thread ya kipuuzi kabisa hii.
 
Sijui kwanini maaskari & Traffic wa Tz wanapenda lift kama majeneza ya Muhimbili, halafu mara nyingi wanaomba ki amri amri as if wee ni dereva wao
 
Kiukwel sijaelewa lengo la hii thread.Kwanza sijaelew umechekeshwaje hapo!!Yan kumdhania traffic kupumua ndo kichekesho?
Lengo kuwa kila mmoja akidhania mwenzie ndio kajamba mkuu. Kumbe harufu inatoka kwenye maji taka.
 
Back
Top Bottom