Huyu Traffic Amenichekesha Kweli.

Huyu Traffic Amenichekesha Kweli.

We huogopi? unamtukana mwenye gari? hahaha . Am just joking. Hatutakiwi kuwa serious muda wote ndugu.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 Nimecheka sana mkuu,kweli hatutakiwi kua serious muda wote,hata mleta mada analijua hilo,,,teh! teh! Lakini mimi sijamtukana mkuu,usinipe kesi sio yangu 😀😀😀😀
 
Maana yake kwake kaona ujiko kumuendesha TRAFIKI.....Angekuwa MJEDA angeongea upuuzi wowote...!! CHEZEA MADOADOA weye.....Trafiki wengi ni wastaarabu tu..
 
mwishoni mwa mwaka mods itabidi mtaje top ten ya threads za kipuuzi zilipostiwa jf.
 
mwishoni mwa mwaka mods itabidi mtaje top ten ya threads za kipuuzi zilipostiwa jf.
 
Back
Top Bottom