Huyu Traffic Amenichekesha Kweli.

We huogopi? unamtukana mwenye gari? hahaha . Am just joking. Hatutakiwi kuwa serious muda wote ndugu.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Nimecheka sana mkuu,kweli hatutakiwi kua serious muda wote,hata mleta mada analijua hilo,,,teh! teh! Lakini mimi sijamtukana mkuu,usinipe kesi sio yangu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Maana yake kwake kaona ujiko kumuendesha TRAFIKI.....Angekuwa MJEDA angeongea upuuzi wowote...!! CHEZEA MADOADOA weye.....Trafiki wengi ni wastaarabu tu..
 
mwishoni mwa mwaka mods itabidi mtaje top ten ya threads za kipuuzi zilipostiwa jf.
 
mwishoni mwa mwaka mods itabidi mtaje top ten ya threads za kipuuzi zilipostiwa jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…