mngony JF-Expert Member Joined Jul 27, 2012 Posts 5,555 Reaction score 6,972 Jul 12, 2021 Thread starter #281 msakaa jr said: Hahaha hahaha Click to expand... Weka neno Mkuu
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Jul 12, 2021 #282 Mimi nazn Huyy Traffic ameshaitwa na mkubwa wake aliempgia salute na kufanyiwa kazi Ameeonyesha uzebe wa hali Ya juu ni askari lakn amekuw kama Raisi asijue swala la usalam wa Raisi na kuleta usumbufu
Mimi nazn Huyy Traffic ameshaitwa na mkubwa wake aliempgia salute na kufanyiwa kazi Ameeonyesha uzebe wa hali Ya juu ni askari lakn amekuw kama Raisi asijue swala la usalam wa Raisi na kuleta usumbufu
TZ-1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 4,321 Reaction score 7,501 Jul 12, 2021 #283 Kaona huyo askari amefanya upuuzi na lazma amuite amuwajbshe. Shujaa Mwendazake said: Sasa kam Sasa Kamanda kapigiwa Saluti halafu hajajibu. Hii ni sawa? Click to expand...
Kaona huyo askari amefanya upuuzi na lazma amuite amuwajbshe. Shujaa Mwendazake said: Sasa kam Sasa Kamanda kapigiwa Saluti halafu hajajibu. Hii ni sawa? Click to expand...
bintishomvi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 1,164 Reaction score 833 Jul 13, 2021 #284 Petro E. Mselewa said: Tukio litachunguzwa na hatua zitachukuliwa Click to expand... Na huyo askari sijui kama anakazi tena Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Petro E. Mselewa said: Tukio litachunguzwa na hatua zitachukuliwa Click to expand... Na huyo askari sijui kama anakazi tena Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
bintishomvi JF-Expert Member Joined Mar 21, 2015 Posts 1,164 Reaction score 833 Jul 13, 2021 #285 Kabugula said: Anaonekana ana hasira, yawezekana mlimkalisha barabarani mda mrefu Click to expand... [emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Kabugula said: Anaonekana ana hasira, yawezekana mlimkalisha barabarani mda mrefu Click to expand... [emoji1787][emoji1787] Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app