Huyu trafiki kumkaribia hivi Rais sio hatari?

Sifa moja wapo ya mlinzi wa raisi ni kuwa na mwili mkubwa pia ukakamavu ukiangalia kwa makini hawa walinzi wa sasa wa mama ni kama vile ni hawana miili ya mazoezi, wale waliokuwa wanamlinda Mzee Magufuli walitoka wapi mbona walikuwa wanaonekana wapo fit tofouti na hawa wa sasa.
 
Kiongozi hata hiyo salute yenyewe umeiona inavyopigwa aisee, salute inapigwa huku mtu anatembea baada ya kubana matako arif.

Huyu mwamba ametisha aisee...!
 
Sio kwa makusudi mkuu, huyu trafic kapata wenge baada ya mwanausalama kumuambia asipite pale amepagawa anapiga hatua kubwa afike anapostahili kumbe ndiyo anazidi kuharibu kwa kumpamia mwanausalama mwingine ambaye alikua hata hajamuona 🤣
 
Tazama vyema Mkuu utakubaliana na mimi. Ni kusudi kabisa
 
Siyo hali ya kawaida, kuna kitu zaidi tunavyoona katika clip.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…