Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna jamaa yangu yeye alisema wanajaa dar express mbili..back to me,je wale wa kudumu au one night stand? nasubiri majibu kwanza...:ranger:
Mim kuna mwaka nilikuwa mbeya nikaandika kwenye ki-note ikafika..67!!hapo ni mwaka 1992.........mpaka leo!!unganisha DOT utajua idadi yangu!!
mweeeemie,,,nikiacha unafiki,,,,sikumbuki,,ila naweza kujaa kaunta mbili na ushee,,,huwa navuta kumbukumbu kuanzia kijijini,,,,miji,,majiji shulen ,,,vyuon,,,,kazin,,,,,one night,,,goal,,wenye mbio za mwenge,,umiseta,,,umishumta,,,,,misiba xmass saka,,mwaka mpya,,,,ubarikio,komunio,,,idd kubwa ndogo ,,madrasa,,,maulid graduation,,,kote ni ku do tu,,,orodha ni ndefu,,,
Il usisahau weka categories;Dah! Wew ni noma mkuu! Ngoja na mimi nikumbuke vile...
Re-used.... FirstLady1!!!!!67 ....1992 hahahah
2012.....?(..........) duh unaweza kuwa used sasa
. Bado hujapita mitaa ya Shivaz!!! Dah jamaa katuuliza swali tata sana!Mhhh mbona hapa ni habari nyingine aise
Kukumbuka ni noma maana wako wale wa one night stand wale mnaokutana msibani, au kwenye safari, chuoni, shuleni, sherehe za harusi na ubarikio na communio na kipaimara,
Mhhh orodha ni ndefu
Il usisahau weka categories;
- Mabinti/vijana wa watu baki.
- Mabinti/vijana ambao mna undugu.
- Wake/wame za watu.
- Kaka/dada wa mabeste.
- House girl/boy.
- Mwalimu.
- Bosi kazini etc
Wapenzi wanaJF,
BINADAM tunapitia nyakati tofauti sana za mahusiano na kwasababu tunatumia sana hisia kwenye mahusisano yetu tumekuwa tunashindwa kudumu nayo kwa muda mrefu. Mpaka sasa ulipofikia ni wangapi umekuwa nao na wangapi mmeachana na unakumbuka ni kwa nini mliachana? FUNGENI JAMANI NA USHAURI PIA TUPEANE.
First Born swali ni gumu mbaya. Bado hujapita mitaa ya Shivaz!!! Dah jamaa katuuliza swali tata sana!
Mim kuna mwaka nilikuwa mbeya nikaandika kwenye ki-note ikafika..67!!hapo ni mwaka 1992.........mpaka leo!!unganisha DOT utajua idadi yangu!!
Mr Rocky mzima wewe ........usisahau washa ,makongamano na semina looooMhhh mbona hapa ni habari nyingine aise
Kukumbuka ni noma maana wako wale wa one night stand wale mnaokutana msibani, au kwenye safari, chuoni, shuleni, sherehe za harusi na ubarikio na communio na kipaimara,
Mhhh orodha ni ndefu
Blaki Womani mzima sana dearMr Rocky mzima wewe ........usisahau washa ,makongamano na semina loooo