Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Pamoja mkuu
Hongera kwa kumiliki bomba. Mwenye bomba hakai foleni.Mtoa mada ana hamu ya kupigwa bomba
Ahsante kwa taarifaKweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa Facebook humu ndani mdogo wangu.View attachment 923324
Asante kwa taarifaKweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa Facebook humu ndani mdogo wangu.View attachment 923324
Kumbe jamaa ni mchomelea vyumaHahahahaha fundi mchomelea vyuma!... una kesi hapa..
Nitag nikaisome tafadhaliJamaa ovyo sana hadithi yake ya KISIWA CHA HALISHI impish kama movie za kanumba na ray
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmh! labda owe ni mtu mmoja lkn I'd mingi mingi!
Ila Karim na Ndege Jioni mbona wako sawa ila wanatokelezea maeneo tofauti... ...
Udhaifu sote tunao...
wengine wanapenda sifa..wengine umaarufu..wengine ni kawaida...wengine kama wametumwa vile ...nk nk
Bila kusahau wajuaji na ambiliki!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kumbe nawe umetambua hili,nilijua Mimi peke yangu
Jamaa anaboa sana alafu cha kusikitisha ni verified user
Michango yake utumbo mtupu,kama kasoma elimu ya watu wazima enzi hizooo(ngumbalo)
Kama si hivyo atakuwa yuko bush ndani ndani huko,ambako hadi Leo wanajua raisi wao Nyerere,peke yake ndo anamiliki smartphone,huko inavyoonekana
Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa Facebook humu ndani mdogo wangu.View attachment 923324
Memory ya simu yako imejaa punguza hizo porn videosKweli jf imekuwa dampo la machizi,wajinga na wapenda sifa.huyu jamaa yupo active muda wote lakini michango yake miyeyusho.comment yake moja tu eti "Asante kwa taarifa" acha kutuletea ujinga wa Facebook humu ndani mdogo wangu.View attachment 923324