Huyu wa kuitwa Kanungila karimu shenz wahedi kabisa

Huyu wa kuitwa Kanungila karimu shenz wahedi kabisa

Atakuwa yuko bush ndani ndani huko,ambako hadi Leo wanajua raisi wao Nyerere,peke yake ndo anamiliki smartphone,huko inavyoonekana
 
Mmh! labda owe ni mtu mmoja lkn I'd mingi mingi!
Ila Karim na Ndege Jioni mbona wako sawa ila wanatokelezea maeneo tofauti... ...
Udhaifu sote tunao...
wengine wanapenda sifa..wengine umaarufu..wengine ni kawaida...wengine kama wametumwa vile ...nk nk
Bila kusahau wajuaji na ambiliki!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe nawe umetambua hili,nilijua Mimi peke yangu
Jamaa anaboa sana alafu cha kusikitisha ni verified user

Michango yake utumbo mtupu,kama kasoma elimu ya watu wazima enzi hizooo(ngumbalo)

Kama si hivyo atakuwa yuko bush ndani ndani huko,ambako hadi Leo wanajua raisi wao Nyerere,peke yake ndo anamiliki smartphone,huko inavyoonekana


Hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom