Huyu wa kwetu ataishia kutazama picha tu kama sisi wengine!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Rais Ruto kaalikwa huko Ufaransa kwenye mkutano wa G7.

Mwingine kutoka Afrika ni El-Sisi wa Misri.

Anaishia kwenda kwa Putin ambaye naye anahangaishwa na kanchi kadogo tu, Ukraine.

Hata Kenya hapo anaogopa kwenda. Kwa Museveni anaenda.

Yaani hapo angalia tu pattern…..

Ni lazima awajibishwe

 
samahani mkuu, yule mwamba alievaa pama kule mwisho ni rais wa nchi gani?
 
dah aise kweli,
maana nawaona ma rais wa Uganda na Rwanda walikua wanasmile vizuri sana aise, kuliko hata marais wote wa Africa
 
Ukiwa na colonial mentality ni bure kabisa hivi unafikiri kuna urafiki wa dhati Kati ya mzungu na mtu mweusi?
Nje ya mada hivi huyo umbra hapo nyuma ndo Ruto au dah jamaa ni mweusi kwelikweli
 
Hapo kuna mmoja kachafua picha
 
Kwa akili zako ndogo za kitoto hapo umewaona marais wote wa dunia nzima kasoro samia tu

USSR
 
Iran ya zamani sio hii, hii ya sasa Iran tu kamtoa jasho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…