Huyu wa kwetu ataishia kutazama picha tu kama sisi wengine!

Huyu wa kwetu ataishia kutazama picha tu kama sisi wengine!

Fuatilia. Baada ya JFK kuuwawa rafiki mkubwa wa Nyerere. Tanzania iligeukia nchi za Ulaya mashariki. Hata wasomi wa mwanzo mwanzo wengi walisoma kule, unajuwa Sokoine alisoma Yugoslavia?
Nyerere alisomea Uingereza, kwa wakoloni..

Kambona alisomea Uingereza.

Mkapa alisomea Marekani, kwa mabeberu..

Binafsi nawajua wasomi wengi sana hao wa mwanzo mwanzo ambao walisomea Marekani, Canada, na Uingereza.

Cha kuchekesha ni watu kuwaona wazungu wa Marekani na Ulaya magharibi kuwa ni mabeberu lakini wazungu wa Ulaya mashariki kuwa ni rafiki zao😂.
 
Rais Ruto kaalikwa huko Ufaransa kwenye mkutano wa G7.

Mwingine kutoka Afrika ni El-Sisi wa Misri.

Anaishia kwenda kwa Putin ambaye naye anahangaishwa na kanchi kadogo tu, Ukraine.

Hata Kenya hapo anaogopa kwenda. Kwa Museveni anaenda.

Yaani hapo angalia tu pattern…..

Ni lazima awajibishwe

View attachment 3609147
Namuona.mordi na.da.silva wa.brazil wamefata nn huko wkt wenyewe wapo brics?
 
Rais Ruto kaalikwa huko Ufaransa kwenye mkutano wa G7.

Mwingine kutoka Afrika ni El-Sisi wa Misri.

Anaishia kwenda kwa Putin ambaye naye anahangaishwa na kanchi kadogo tu, Ukraine.

Hata Kenya hapo anaogopa kwenda. Kwa Museveni anaenda.

Yaani hapo angalia tu pattern…..

Ni lazima awajibishwe

View attachment 3609147
Stupidity is a bliss , Mzee wa najua kimombo.
 
Kwamba Putin ana hangaishwa na Nchi ndogo Ukraine!? Like seriously as if haujui kwamba Ukraine wana changiwa pesa na kupewa silaha na NATO pamoja na hao USA

Anyway tufanye Russia kamshindwa Ukraine kanchi kadogo

Lakini tumeona USA kuishinda Iran linchi likubwa 😄😄

BTW kuhusu hapo Kwa samuya nakuunga mkono
 
Kule X kuna Nyani Ngabu ila ni tofauti kabisa na Ngabu wa wa JF
 
Kule X kuna Nyani Ngabu ila ni tofauti kabisa na Ngabu wa wa JF
Si mimi huyo.

Nahisi ni member wa JF ambaye ni fan wangu.

Anani admire lakini anashindwa kusema, hivyo anatumia njia mbadala ya kuonyesha hiyo admiration yake kwangu.
 
Back
Top Bottom