Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

Doto12

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
640
Reaction score
1,141
Huyu nilimkuta kwenye tiles. Nashangaa anatokea wapi
1000386317.jpg


Naomba wale waelevu wanipe msaada asitokee tena
 
Hatua ya kuwa kipepeo huyo. Hapo anatafuta sehemu salama ili amalizie safari ya kuwa kipepeo kamili
 
Ndani ni kuchafu, ametoka sehem yenye unyevunyevu
 
Back
Top Bottom