Huyu washawasha anatokana na kitu gani. Wajuzi naomba maelezo

Hatua ya kuwa kipepeo huyo. Hapo anatafuta sehemu salama ili amalizie safari ya kuwa kipepeo kamili
 
Ndani ni kuchafu, ametoka sehem yenye unyevunyevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…