Huyu Wema Sepetu wa CCM ni moto

Huyu Wema Sepetu wa CCM ni moto

Wakati wake umeisha akina mobeto/ Amber lulu/gig money wamechukua nafas yake tiyar
 
Maskini weee umebaki wewe tu wa kumlamba make up.

Wale team yake wamesombwa na mbu.
 
fee248c4aac8289ceded506d542b2ba9.jpg
2f26a3a1919ee4dec41d4de3338fa10f.jpg
 
Huyu ndio sepenga wa 2018, mambo ni motooooo..

Ila mi nasemaga skuzote wema asingemkabizi mchina hlo kalio lake alikua ni moja kati ya wanawake warembo kuwahi kuzaliwa kwenye ardhi hii ya tanzania (Mnipinge kama nakosea)

Mwanamme wa Dar, yaani make ups kama za Mellania Trump ndizo zinakufanya kushabikia mtu namna hii? Wema is OK NOT beautiful, hizo mbwembwe zingine ni make ups tu na kama ujuavyo....make ups zilikuwa created kwa wanawake wabaya ili kuficha ubaya wao. Mwambie atoe hiyo kilo tatu ya make ups usoni umuone ualisia wake kama hujamkimbia. Nyie wanaume wa Dar dizaini ya kina Ben Kinyaiya, Martin Asiyedinda, yaani basi basi tu.
 
Huyu ndio sepenga wa 2018, mambo ni motooooo..

Ila mi nasemaga skuzote wema asingemkabizi mchina hlo kalio lake alikua ni moja kati ya wanawake warembo kuwahi kuzaliwa kwenye ardhi hii ya tanzania (Mnipinge kama nakosea)

Jembe la Chama. Napendekeza ateuliwe kuwa mbunge kisha apewe uwaziri.
 
Naona location ni kama guest house!Napafananisha hapo.
 
Back
Top Bottom