Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo mtoto anarun kipind cha mahanjumat ch.10 waungwana huyu mtoto ananimaliza mbaya.hivi kaolewa au bado.mwenye contact zake anitoe asee yani alivyo tu mi hoi!!
kazi yako ya kusukuma mikokoteni unadhani utaweza kummudu huyu mdada? Ni pm nikupe namba za mtu anayeweza kukusaidia kuonana nae.ila ana-boyfriend anafanya kazi vodacom.
mcheki kidolen namuonaga ana ring ya ndoa.
Kazi yako ya kusukuma mikokoteni unadhani utaweza kummudu huyu mdada? Ni PM nikupe namba za mtu anayeweza kukusaidia kuonana nae.Ila ana-boyfriend anafanya kazi Vodacom.
usione vinaelea vimeudwa
Unanifanya nifurahi cos kusukuma mkokoten na kumtaka huyo mdada kama havihusihana.mi ndo niger bwana nikimtaka demu cmkosi.nikimkosa ana UKIMWI.Ngoja nipate contact uone
acha kujiita majina ambayo hujui maana yake. Inaelekea una matatizo makubwa sana .