Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 17,047
- 63,206
Nasubiria waje wakaneHuyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?.
Msikilize wewe mwenyewe.
View attachment 3504079
Porojo za TECHuyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?.
Msikilize wewe mwenyewe.
Ruvuma ipi. Mtu ameuawa pale mahuki, songea mjini Msamala, alfajir za tar 31.Kagera, tabora,yanga,singida,lindi,mtwara, ruvuma,moro,pwani hakukua na vurugu
Sisi katani kwetu Diwani kakimbia na familia yake, vurugu na varangati lilikua sio la nchi hii,Hii ingetokea huku kusini mwa Tz game ingekua ova siku nyingi.
Kuna wanasayansi huku wa asili nadhani hawatumiki ipasavyo kwakua either hawajafikwa na jambo hili.
Nakumbuka sakata la gas Kuna wazee wanasayansi waliipigana ile vita mpaka serikali ikaomba poo.
Ni muda Sasa wa kuwathamini na kuwatumia Wana sayansi wetu wa kusini.
Hakukua na maandamano ruvuma,31/10 vurugu zilishaisha, infact mwisho wa vurugu ilikua 30/10Ruvuma ipi. Mtu ameuawa pale mahuki, songea mjini Msamala, alfajir za tar 31.
Hakukua na vurugu wapii? Risasi na mabomu waliokua wanafanya hao mapolisi, nini kilee?
Hata km, sasa polisi walikua wanafanya doria na kurusha mabomu kisa nn, ikiwa hakukua na maandamano?Hakukua na maandamano ruvuma,31/10 vurugu zilishaisha, infact mwisho wa vurugu ilikua 30/10
Hata ile idadi ya watu 10,000 inayotajwa ni ndogo kwa nchi nzima hii ni makumi ya maelfu ya Watanganyika wameuwawa tena ambao hawakuwa kwenye maandamano wala vurugu zozote zile. Samia kama angekuwa na roho ya ubinadamu angeajiuzulu mara moja kuonyosha kuumizwa na mauaji haya ya halaiki .Hawa watu wamemwaga damu ya wananchi nyingi sana. Tena nchi nzima
Moderator nisaidie kubadili title isomeke mauaji badala ya mauji
Kwamba hao wanasayansi bado hawajaona kama kuna tatizo nchini, au hadi watekwe wao?Hii ingetokea huku kusini mwa Tz game ingekua ova siku nyingi.
Kuna wanasayansi huku wa asili nadhani hawatumiki ipasavyo kwakua either hawajafikwa na jambo hili.
Nakumbuka sakata la gas Kuna wazee wanasayansi waliipigana ile vita mpaka serikali ikaomba poo.
Ni muda Sasa wa kuwathamini na kuwatumia Wana sayansi wetu wa kusini.
Hamna kitu mbona suala la korosho walitumiwa hadi jeshi na hawakufanya chochote.Hii ingetokea huku kusini mwa Tz game ingekua ova siku nyingi.
Kuna wanasayansi huku wa asili nadhani hawatumiki ipasavyo kwakua either hawajafikwa na jambo hili.
Nakumbuka sakata la gas Kuna wazee wanasayansi waliipigana ile vita mpaka serikali ikaomba poo.
Ni muda Sasa wa kuwathamini na kuwatumia Wana sayansi wetu wa kusini.
Muongo uyo mama hio mikoa Tena shughuli zilikua zikiendelea normal kbisaKagera, tabora,yanga,singida,lindi,mtwara, ruvuma,moro,pwani hakukua na vurugu
Maandamano yalifanyika nchi nzima, ofisi za CCM, polisi na vituo vya kura viliharibiwa karibu nchi nzima, kusema Samia alishinda asilimia 98 ni uwongo wa hali ya juu.Kagera, tabora,yanga,singida,lindi,mtwara, ruvuma,moro,pwani hakukua na vurugu