Wale wauaji wakiona hivi sijui huwa wanajisikiaje?!Ujanja wote unaishaga kwenye hiko kiboksi yeye naamin aliishi vyema na kwa amani bila kuua watu elfu kumi, bila kufanya ufisadi, kujilimbikizia mali,
SASA Hawa mbwa wengine tuone wakifa kama watazikwa na hizo mali zao walizojilimbikizia kwa kumwaga damu za watu oktoba 29 na 30 kumamaye
Nipo ChembaAmina karibu kondoa
Duh!Ujanja wote unaishaga kwenye hiko kiboksi yeye naamin aliishi vyema na kwa amani bila kuua watu elfu kumi, bila kufanya ufisadi, kujilimbikizia mali,
SASA Hawa mbwa wengine tuone wakifa kama watazikwa na hizo mali zao walizojilimbikizia kwa kumwaga damu za watu oktoba 29 na 30 kumamaye
Pole sana mzee wanguR.i.P Classmate....😮💨
Marehem alikua mtuwangu wa karibu sana...😪
Huku Vitu Ni Brand NewNakuja sana mkuu . Tutameet one day
Apumzike kwa amani mpendwa wetu. Serikali ya Samuya inatamani maaskofu wote wafe wabakie mashehe ubwabwa tu!Askofu Agapiti Ndorobo wa Jimbo Katoliki la Mahenge Ashindwa kuvumilia wakati Jeneza la Askofu Bernadin Francis Mfumbusa likishushwa Kaburini, Asogea Karibu kumuaga na kumuona kwa Mara ya mwisho. Huzuni Yatawala.
View attachment 3577529