CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 12,134
- 27,519
1. ELIMU.
2. ELIMU.
3. ELIMU.
2. ELIMU.
3. ELIMU.
Memories,the refurnished ones!Indeed, the book is so nice Moisemusajiografii . That woman Mumbi was my hero, her husband Gikonyo was a Mau Mau fighter. When he was released from detention after some years, he came home to find Mumbi with a little child! The bitter truth was that the father was his old friend Karanja who betrayed the Kikuyu people to colonial rulers and the made him a Chief
Napenda kilivyo ishia. Gikonyo alimsamehe Mumbi baada ya kutafakari meengi yaliyopita na yeye kukumbuka na kutathmini makosa yake mwenyewe pia. Alipokua anauguzwa hospitali karibia ya Uhuru alimwambia Mumbi arudi nyumbani
Mumbi ilibidi akae kwenye kiti kwanza maana Gikonyo alikua hajamsemesha muda mrefu kisha akamwambia mumewe "Gikonyo what has passed between us cannot be finished with just one sentence, we need to sit down and talk and together see what the future will be for us"
It's a good story, actually Karanja ni kama alimbaka Mumbi wakati alipomfata nyumbani kumpa habari kwamba mumewe atatoka na Mumbi akawa overwhelmed. Wakati huo Karanja...dah acha tu Mkuu japo toka ni kisome ni karibia miaka 35 sasa
Kwamba hata mimi namtegemea? Kuna muda najihisi sipo kwenye kundi la watanzaniaBinti mrembo nchini mwenye uzuri wa aina yake wa sura na umbo which make heads turn and pulses racing Valentina Gabriel almaarufu Vale Nafaka kaumia mguu wa kushoto na anatembea kwa kuchechemea.
Alionekana kwenye Video kwenye ukurasa wake wa Instagram mguu wake wa kushoto umefungwa bendej na akitembea kwa kuchechemea.
View attachment 3608537
Huzuni imetawala kwa wengi sana na kupeleka utitiri wa kumtumia salamu za pole apone haraka.
Cha kushangaza binti huyo wa aina yake mwenye haiba ya kipekee hakuacha majukumu yake ya Shamba tour na juhudi zake binafsi za kuhakikisha kila Mtanzania kamwe hatakufa kwa njaa na uhakika wa kuweka mlo kamili mezani kupitia kilimo.
The thing that surprises many it's her ability to carry on with her daily engagement and agricultural activities without hinderace despite the fact her left leg is injured.
The determination in her is unchallangeable in many aspects. Her resilience and focus for the betterness of each and every Tanzania to get full daily meal package through Agriculture is another level.
Vale Nafaka is a God given gift to humanity.
God bless you and get well soon.
Die hard secret admirer!
View attachment 3608539