Nipo kwenye huzuni kuu.
Nipo kwenye huzuni kuu.
Usingizi hauji kabisa namfikiria mahbuba! Popote ulipo Shunie, sema neno moja roho yangu itapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani we huwezi kuswitch ile nyingine?? Oouk kwani anaongelea nini ?Shunie hana bando mkuu... Atakuja usiku au kesho!
Hahaha hahaha hahahaKwani we huwezi kuswitch ile nyingine?? Oouk kwani anaongelea nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
We mzee niacheee na huzuni yanguKwa nini upate huzuni
Mahbuba nipo kukufuta machozi
Napata taarifa kwa Watu baki kuwa leo una huzuni kuu! Nini kisababishi? Kama ni mahasidi nipo radhi kupambana nao.
Najua nipo mbali sana na upeo na macho yako lakini naamini moyo wangu kama mvua za vuli, zinaweza kunyesha Lusaka lakini zikaendelea mpaka Daslam!
Pole kwa kila linalokusibu japo sijapata taarifa mujarabu lakini nahisi huzuni yako. Naihisi huzuni yako imepitiliza kuliko vidole khamsa.
Ndimi wako Platozoom
Wakatabahu
Sent using Jamii Forums mobile app
Jichekee tu vinachekesha mzee mtu chake
Sina la kusema mm ebu niacheNipo kwenye huzuni kuu.
Usingizi hauji kabisa namfikiria mahbuba! Popote ulipo Shunie, sema neno moja roho yangu itapona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamefanyaje hao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shunie hana bando mkuu... Atakuja usiku au kesho!