platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Kwa nini upate huzuni
Mahbuba nipo kukufuta machozi
Napata taarifa kwa Watu baki kuwa leo una huzuni kuu! Nini kisababishi? Kama ni mahasidi nipo radhi kupambana nao.
Najua nipo mbali sana na upeo na macho yako lakini naamini moyo wangu kama mvua za vuli, zinaweza kunyesha Lusaka lakini zikaendelea mpaka Daslam!
Pole kwa kila linalokusibu japo sijapata taarifa mujarabu lakini nahisi huzuni yako. Naihisi huzuni yako imepitiliza kuliko vidole khamsa.
Ndimi wako Platozoom
Wakatabahu
Sent using Jamii Forums mobile app