Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha labda kwa njia ya postaHahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii
Hiii sindo I'd kwa ajili yenu... Ma team ya hapa kwetu siyo yakuyafatilia Sana ..maaana nikama macartoon yanayochezeshwaNaona umenijia na hii ID sasa!
Hana lolote huyo, majonzi yake ni 5imba
Umeona eeenh sijui nitume kwa njia ya posta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja nihesabu auntie hivi huwa mnanichukulia mm katotoUko chupa ya ngapi auntie?
Hahaha hahaha hahaha
Mecheka saaaana jamanii
Hahaha hahahaMkaza mjomba wa nyokwe mxxiuuu
MfyuuuuuIla we dada akee shunie mzuri jamanii
Ewaaaaa
Wengine kaka tumetekwa ukoHiii sindo I'd kwa ajili yenu... Ma team ya hapa kwetu siyo yakuyafatilia Sana ..maaana nikama macartoon yanayochezeshwa
Sema kweeliHiii sindo I'd kwa ajili yenu... Ma team ya hapa kwetu siyo yakuyafatilia Sana ..maaana nikama macartoon yanayochezeshwa
Aibu nimeona mimi.[emoji134][emoji134]Hahahaa sasa auntie umeelewaje hapo
Nakutumia we mzee sasa utume nauli
Kama nikweli Una huzuni a kufungwa simba. Ningekua karibu ningekuongezea na likofi LA mdomo pwaaaa.Eti ya kufungwa jana kaka
Wahi sasa jamanii
KweeendaSema kweeli