Huzuni ya Shunie

Jamani sema kweli we mzee hivi umeanza lini lakini
Siku nyingi sana.
Tatizo napata wakati mgumu sana, unamkumbuka yule jamaa wa Congo alikuwa anasema anapenda waliojazia nyama, ghafla alivyoona figa yako akabadili mawazo. Huu ni zaidi ya uchawi jamani!

By the way mimi sasa hivi ni dalali wa de le boss pafume. Ofisi ni Magomeni Kagera!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhah mzee wa Congo alibadili gear angani mtu chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…