Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Aiseeee nipumzisheni jamanii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseeee nipumzisheni jamanii
BabeNimeona nyayo zake
Kwa njia ipiii eti we mzee
Na kwenyu nyote. Kristo awalindeniKesho nikumbushe nikuambie...
Naomba nikuage kakangu. Usiku mwema kwako na Yesu akutunze
HallelujahNa kwenyu nyote. Kristo awalindeni
Jamani sema kweli we mzee hivi umeanza lini lakini
Haya twendeTunalala woteee babe na mm natoka
Ebu kumbuka basi we mzee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We si unaenda kulala, nikikumbuka nitakuambiaEbu kumbuka basi we mzee
Siku nyingi sana.Jamani sema kweli we mzee hivi umeanza lini lakini
Siku nyingi sana.
Tatizo napata wakati mgumu sana, unamkumbuka yule jamaa wa Congo alikuwa anasema anapenda waliojazia nyama, ghafla alivyoona figa yako akabadili mawazo. Huu ni zaidi ya uchawi jamani!
By the way mimi sasa hivi ni dalali ya de lo boss pafume. Ofisi ni Magomeni Kagera!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaa naenda kulala mpaka kesho kwahiyo kesho utakumbuka we mzee
Hahahhah mzee wa Congo alibadili gear angani mtu chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nyingi sana.
Tatizo napata wakati mgumu sana, unamkumbuka yule jamaa wa Congo alikuwa anasema anapenda waliojazia nyama, ghafla alivyoona figa yako akabadili mawazo. Huu ni zaidi ya uchawi jamani!
By the way mimi sasa hivi ni dalali wa de le boss pafume. Ofisi ni Magomeni Kagera!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhah mzee wa Congo alibadili gear angani mtu chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahaaa naenda kulala mpaka kesho kwahiyo kesho utakumbuka we mzee
Mzee wa Congo anatishaHahahhah mzee wa Congo alibadili gear angani mtu chake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]