Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahhaha eti id mbofumbofu awaachie watotoBaba Paroko
Asante kwa kuwa wa zamani.... Mambo ya kutukula chenga na ID mbofumbofu waachie watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhaha eti id mbofumbofu awaachie watotoBaba Paroko
Asante kwa kuwa wa zamani.... Mambo ya kutukula chenga na ID mbofumbofu waachie watoto
Nalalaga ila sio Kama janaaMxxiuuue kwahiyo siku zote hulalagi usingizi mtamu au kujidai
Sakayo anajua sana huyo,ila wewe mdogo hataki kukuumizaHahahahah kufungwa kwetu simba anajifanya ananifariji mm sitaki fariji ya kinafki halafu yanga nasikia mmefungwa uko
Nikiwa na tatizo ww ni wa kwanza kujua baba parokoNimeshangaa wakati leo asubuhi ulikuja kanisani na hukuniambia kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajua nn tena shemela dada akee shunie
Kabisaaa. Anajiita boxHahahhaha eti id mbofumbofu awaachie watoto
Sema kweeli jamaniiNikiwa na tatizo ww ni wa kwanza kujua baba paroko
Kwema huko Shem
Hivi box nani vileKabisaaa. Anajiita box
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema kweeli jamanii
Anasema jana kalala usingizi mzuriAnajua nn tena shemela dada akee shunie
Mh mbona nasikia yanga wamefungwa au nimesikia vibaya
Ebu niulizie kwani siku zote alikua analala usingizi mbaya shemela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nakuona
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimejibatiza tena kwa hile hile [emoji723] ya zamani, aisehh kumbe ni mnyama kufungwa hebu wajitazame mbona taarifa zao tunazoBaba paroko jamani hatimaye umerudisha I'd yetu pendwa cc Sakayo
Eti anasema napitia gumu tulivyofungwa na waarabu hivi huyu mzee zinamtosha kweli
Hivi box nani vile
Huku ni njema kabisaaa jamanii...
Yanga wamefungwa bwanaKuna muda pia niliangalia Flashscore ilikuwa inaonesha 1 - 0, ila baadae wamebadili kuonesha 0 - 0.
Imebidi nifungue radio, ila hawajataja matokeo