Amulike Noel
Member
- Sep 16, 2009
- 5
- 0
Kama katibu wa CCM mkoa wa Lukuvi anamilki Mercedes Benz lamamilioni ya pesa, halafu m2 mwenyewe ni std 7, najuliza hv humu chamani kuna biznesi gani mpaka mtu akareizi from ukapuku mpaka kumiliki benz ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Though i am not a SISIM member but this is unfair comment i think you have a problem in your brain system.Mtu mzima mwenye akili timamu hawezi kuongea lugha za namna hizo.wizi mtupu. Kumbuka huwezi kuwa CCM bila ya kuwa fisadi wala huwezi kuwa fisadi bila ya kuwa CCM