hv mlio kwenye ndoa mnawezaje maisha bila kuwa na YESU?

mparestina

Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
10
Reaction score
8
kiukweli nashindwa kuelewa jambo hl,kuwa wanandoa mnaishije kwenye ndoa bila Yesu?sasa si mtaishi kutoana ngeu humo ndani?na kwenda jehanamu kwenye moto wa milele?okokeni vijana wenzangu,kwa YESU ni raha tupu.ujumbe huu wafikishie na wengine.sina meng kwa leo.
 
well said Bwana asipojenga nyumba wajengao wafanya kazi bure
 
kiukweli nashindwa kuelewa jambo hl,kuwa wanandoa mnaishije kwenye ndoa bila Yesu?sasa si mtaishi kutoana ngeu humo ndani?na kwenda jehanamu kwenye moto wa milele?okokeni vijana wenzangu,kwa YESU ni raha tupu.ujumbe huu wafikishie na wengine.sina meng kwa leo.

Hii nafikiri ungewalenga sana na masingle wanaokotaokota mtaani, wengine wakifanya sampling kila uchao kutafuta wa kuanzisha nao familia.
Well said my dia, maisha bila Yesu ni sawa na gari bila dereva.
 
kiukweli nashindwa kuelewa jambo hl,kuwa wanandoa mnaishije kwenye ndoa bila Yesu?sasa si mtaishi kutoana ngeu humo ndani?na kwenda jehanamu kwenye moto wa milele?okokeni vijana wenzangu,kwa YESU ni raha tupu.ujumbe huu wafikishie na wengine.sina meng kwa leo.

Pia watu wakae wakijua kwamba ndoa bila Muhammad S W S, ni bure.
 
I can smell udini kwenye hii thread,.....kwani watu wa dini zingine ambao hawamwamini yesu hawaishi na wake zao vizuri,...mbona yule pastor wa usa-nani yule anyway_benny hinn katengana na mke wake kwani hana yesu yule,.

Nb;Mimi na mleta thread tuna-share dini moja,ila sipendi udini na hoja chochezi za udini.
 
well said, cha msingi stick with who you love! na ukitoka wala usimlaumu shetani eti kakushawishi ni tamaa zako wewe mwenyewe!
 
Kuna watu si wakanisani wala msikitini. lakini wanaishi kwa amani kwenye ndoa zao. na wapo watumishi wanaojiita wa mungu ndoa zao ni mbaya. mpaka vijana wanaogopa kuoa.
 
Kuna watu walio kwa YESU bado wanatembea nje ya ndoa,wapo mapasta wanaochunga kondoo wa YESU nao wanazini na waumini na bado wanajiita wapo ndani ya YESU.
 
I can smell udini kwenye hii thread,.....kwani watu wa dini zingine ambao hawamwamini yesu hawaishi na wake zao vizuri,...mbona yule pastor wa usa-nani yule anyway_benny hinn katengana na mke wake kwani hana yesu yule,.

Nb;Mimi na mleta thread tuna-share dini moja,ila sipendi udini na hoja chochezi za udini.

Igweeeeee!!! umesema yote. Kila mtu kwa Imani yake anaweza kuishi maisha mazuri ndani au nje ya ndoa. na kuokoka si kwa YESU pakee kila mtu kwa imani yake anaamini ndio itakayotoa kwenye adhabu ya siku ya mwisho kwa hiyo si vema sana kuwaona wale wasio abudu Yesu kuwa ni wakosaji au hawana tumaini lolote. Penye penzi la kweli Mungu hutia barake zake na maisha huwa safi tu
 
Back
Top Bottom