Pole ndugu usikate tamaa nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuHabari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo cha tatzo nilikandamizwa na fimbo mgongoni toka cku hiyo hadi Leo sehem niliyopigwa panauma nikipabinya..nimefanya vipimo Vingi na hivi karbun nilifanya kipimo cha MRI pia nkaambiwa hakuna tatzo lililoonekana..nisaidie jaman tiba asanteni Sana
ULIKANDAMIZWA AU ULIPIGWA WEKA WAZI USAIDIWEHabari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo cha tatzo nilikandamizwa na fimbo mgongoni toka cku hiyo hadi Leo sehem niliyopigwa panauma nikipabinya..nimefanya vipimo Vingi na hivi karbun nilifanya kipimo cha MRI pia nkaambiwa hakuna tatzo lililoonekana..nisaidie jaman tiba asanteni Sana
Asante Sana Dr nafanya hvoPole ndugu usikate tamaa nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Nilipigwa Mkuu na fimbo.. ntafurahi kupata msaadaULIKANDAMIZWA AU ULIPIGWA WEKA WAZI USAIDIWE
[emoji19] muwe mnakuwa waz khaNilipigwa Mkuu na fimbo.. ntafurahi kupata msaada
Mkuu mimi nahitaji dawa ya mapenzi...Pole ndugu usikate tamaa nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
Jibu LA swali hili pia litasaidia kupata dawa ya tatizo?Ulitandikwa fimbo mgongoni kwa kosa gani? Na ulichukua hatua gani?
Aisee haya matatzo ya back pain ni ishu sana. Unaweza kumeza kila dawa lakn usipone, lakn njia nzuri ni kufanya mazoezi kadhaa ya kunyoosha mgongo, ukifanya consistently mwezi mmoja yanaisha .mm pia yalinisumbua sana. Ingia web ya Dr mercola kisha, ndani mule usearch back pain exercise then anza kupracticeHabari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo cha tatzo nilikandamizwa na fimbo mgongoni toka cku hiyo hadi Leo sehem niliyopigwa panauma nikipabinya..nimefanya vipimo Vingi na hivi karbun nilifanya kipimo cha MRI pia nkaambiwa hakuna tatzo lililoonekana..nisaidie jaman tiba asanteni Sana
Nitafute kwa wakati nipate kukupa hiyo Dawa ya Mapenzi. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi MkavuMkuu mimi nahitaji dawa ya mapenzi...