Habari ndugu zangu mwenzenu ninasumbuliwa na maumiv ya mgongo Mwaka WA tatu sasa nimetumia dawa nyingi za kienyej na za hospital bila mafanikio na tatzo naona linazid badala ya kupungua.. Chanzo cha tatzo nilikandamizwa na fimbo mgongoni toka cku hiyo hadi Leo sehem niliyopigwa panauma nikipabinya..nimefanya vipimo Vingi na hivi karbun nilifanya kipimo cha MRI pia nkaambiwa hakuna tatzo lililoonekana..nisaidie jaman tiba asanteni Sana