Wanaolewa na wanaoleka, tatizo ni kwa "sisi" wanaume tunaofikiri kuwa sehemu ya mwanamke katika jamii ni kukaa ndani au kujivika maguo utadhani kitunguu.
Ukiangalia wasichana wa aaina hiyo huolewa na watu wanaofanana nao. Mtu maarufu ataoa/ataolewa na mtu maarufu mwenzake. Nimewahi kuona picha ya uchi wa "mnyama" ya mke wa raisi wa Ufaransa. Vile vile angalia wachumba wa wachezaji mpira - Cristian Ronaldo, Busquet, Carles Pujol - miongoni mwao, wote ni wanamitindo na wanamiziki.
Tafuta mwenyewe picha za "Mirellas Grisales na Kim Kardashian" ex na mchumba wa sasa wa CR7, siwezi kuziweka hapa kwani znastahiki kuweko kwenye jukwaa la wakubwa.