Hvi wasichana wa aina hii huwa wanaolewa na nani?

Unamaanisha na wale wa Kanga moko laki si pesa milioni inasaidia:: wale sizani kama kuna mtu atadhubutu kuoaga!
 
Na wanaume!tena wao ndo wanaolewa very fast!(ceteris p)..
kuna thread ya why women fall for playboys(not saying that these ladies are though),i think ni just the same,wanaume wengi wanategeka na what they see easily so kutangaza ndoa jambo ndogo sana.
 
Wanaolewa na wanaoleka, tatizo ni kwa "sisi" wanaume tunaofikiri kuwa sehemu ya mwanamke katika jamii ni kukaa ndani au kujivika maguo utadhani kitunguu.
Ukiangalia wasichana wa aaina hiyo huolewa na watu wanaofanana nao. Mtu maarufu ataoa/ataolewa na mtu maarufu mwenzake. Nimewahi kuona picha ya uchi wa "mnyama" ya mke wa raisi wa Ufaransa. Vile vile angalia wachumba wa wachezaji mpira - Cristian Ronaldo, Busquet, Carles Pujol - miongoni mwao, wote ni wanamitindo na wanamiziki.
Tafuta mwenyewe picha za "Mirellas Grisales na Kim Kardashian" ex na mchumba wa sasa wa CR7, siwezi kuziweka hapa kwani znastahiki kuweko kwenye jukwaa la wakubwa.
 
Kila biashara lina soko lake, kwahiyo wanaolewa tu. Huoni Uwoya alivyogandwa na mnyarwanda.
 
Tena hao ndo wanawahi kweli kuolewa, mana jamaa akiona anavyo kizungusha anasema bora akiwahi kabla wangine hawajakiwahi.
 
Wanaolewa tu hasa kwa wanaopenda kufa mapema
 
He wewe ..wanaolewa sana tena na wanaume! Mungu akisema pata ni pata tu,mawazo yake c mawazo yetu!

yap yap kuna watu wanapendelea wanawake wa aina hii so sio ishu wanaolewa vizuri tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…