Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Ok thanks
Swali jingine ... leo niko kwenye mchakato wa kuandaa maelekezo kwa picha .. step by step... naamini hii kitu inaweza maliza migogoro ya wakulima na wafugaji.
 
Naomba kama nataka kulisha nguruwe. Chakula kipi kitafaa kiandaliwe?
Je ngano itafaa?.
Naomba procedures..
 
Iwe ngano, shayili, uwele, ulezi, mahindi, mtama .... yote sawa .... mpimie kiko 2 za Fooder na umpatie kila siku utaona majibu. Kwanza inampunguzia mafuta kwenye ngozi (toka mm 14 hadi mm 7); zipo faida nyingi tu mkuu.
 
Samahan mkuu naomve utupe hzo procedure hapa hapa km inawezekana tutashukuru

Naomba unitumie step za uzalishaji wa hiyo fodder; ackundya@hotmail.com
 
Samahan mkuu naomve utupe hzo procedure hapa hapa km inawezekana tutashukuru
Inawezekana ...
1. Unasafisha mbegu kuondoa uchafu ...
2. Unaziloweka kwenye maji ili zifyonze maji..
3. Unaotesha
4. Unastawisha kwa kuzipatia nutrients na maji...
after 7/8 days unawapatia mifugo...
 
Tunashukuru kwa hilo, lakini pia ningependa kujua tunaziotesha wapi (kwa rate ipi), nutrients zipi zinatumika na kwa rate gani!
 
Maelezo kamili utapata baada ya kukubali kuwa uko tayari kuyafanyia kazi na si vinginevyo!
 
Tunashukuru kwa hilo, lakini pia ningependa kujua tunaziotesha wapi (kwa rate ipi), nutrients zipi zinatumika na kwa rate gani!
upload_2017-3-3_10-56-10.jpeg
 
Back
Top Bottom