Kuna mbolea ya HYDROPONIC FERTILIZER au HYDROPONIC nutrients ndo inayo tumika,
Hii mbolea inapatikana hapa Tanzania kweli mkuu.
Nakuomba kama inawezekana tuandikie hatua kwa hatua ili nianze hata kesho.
niko very serious mkuu. chasa
Mkuu si kila chombo kinafaa kuoteshewa na ni lazima chombo kisicho ruhusu kutu, au bacteria na gangasi ambao ni hatari sana kama wataingia kwenye hayo mazao.
Mkuu inachukua siku 9 kuweza kuwa imekamilika kwa ajili ya kuwapatia NG'OMBE na kwa kuku ni siku tatu inatosha kabisa.
Maji unakuwa unaongeza ila si mengi sana, ila kama unalima mazao ya muda kama nyanya ndo unakuwa unayabadilisha na si kuyabadilisha unaweza fanya resaiko,
HAYO MAJANI UNAYO YAONA HAPO NDO YAMEFIKIA KUTUMIKA SI KWAMBA NI MPAKA IKOMAE IKAUKE NO,
Sasa Mkuu ni Vifaa gani ambavyo haviruhusu Kutu kama badi au plastiki?
Au kuna dawa za kuweka humo ili chombo kisiwe na kutu?
Hizi kwa wenzetu zinafaa zaidi. Hata Kenya kupata Ardhi ni taabu sana.
Kwetu sisi hapa sidhani kama ni Economical au vp?
Pia mwaweza kufungua youtube,"kilimo biashara"kuna maelezo kuntu.
Hydro has something to do with water, hivyo unaotesha mazao kwenye maji na kuweka nuitrients zinazopatikana kwenye udongo???
Nimeharibu yangu kimagumashi nimewapa kuku. Nimetumia mfuniko wa ndoo, nashindwa kuatach picha na hiki kisimu. Kwa anayetaka kujifunza zaidi ingia home made hydrophonic fodder itakuletea namna ya kuchanganya hizo nutrients step by step kwa picha. Pia kama unataka kununua technology unatembelea kilimo biashara kuna nambaza simu za wauzaji wa hii technology huko key.
Mkuu unaweza tumia simple materio ila ni lazima ziwe ambazo haziruhusu kutu au fangasi, kuna mbolea yake inayo itwa hydroponic nutrients, hii ina zile nutrients ambazo zinapatikana kwenye udongo.
Mkuu hizo mbolea zinapatika wapi? mfano hapa dar naweza kuzipata?
Kwa Dar si dhani zinapatikana Nairobi, ila wiki hii naenda hulo na nitakujulisha nini cha kufanya.
Unaweza itumia kwa large scale? Mfano una ng'ombe zaidi ya 100 unaweza itumia hii teknolojia kuwalisha?
Ya Hydroponic means unaotesha mazao bila ya kutumia Udongo na zile nutrients zinazo patikana kwenye udongo unakuwa unaziweka kwa maji tu.Ila kuna process si kazi rahisi,
Mwenye document ya kueleweka naomba atuwekee nipo tayari ku print hapa
Mkuu kuna mafunzo atakaye hitaji atakuja Arusha kwa kujifunza kwa vitendo, ili uelewe unatakiwa ujifunze kwa vitendo. Mwishoni mwa mwezi ujao.