Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

ba ndugu km unao huo ujuzi tupeane ili tusongeshe gurudumu mbele au km una mtu unamjua niunganishe naye.
 
Let me start by sayn Ive practised hydroponics for more than 2years in Nairobi.Nimehamia Dar and kuna challenges one being hali ya hewa.kuna joto sana na pili nimekosa sehemu ya kununua shayiri(barley).
Hydroponics does well in cooler climates btwn 15°~25° when Dar iko kwenye 30s karibia kila siku.Higher temps inawezesha mould to grow haraka.
Barley is the best cz it grows fast and nutrient content is higher than nafaka mengine
Tried ngano na mtama and results show none is better than the other.
What Id suggest for Dar residents is to add a fan kwenye vyumba vya kuotesha.
Mimi hulisha vifaranga wangu from 2 weeks fodder ya soya hadi week 4..then barley sprouts.
Your comments most welcome.
 
ningependa kufahamu kuku wa nyama wanafika kilo 1.5 kwa muda wa wiki ngapi iwapo unawalisha hii kitu.
 

What could be the best hydroponic fodder to feed rabbits

Please advice
 

Mkuu hili nililieleza hapa kama kawaida watu walinibishia sana, Watanzania tunapenda sana ubishi usio kuwa na mantiki, Mkuu kuhusu Shairi ni kwamba kweli kuna chalenge sana na kama unavyo jua Wakulima wote wa shairi Tanzania wanalima kilimo cha mkataba so wakivuna tu soko lipo,

Ila unatakiwa kijupanga na next year wakianza kuvuna tuwasiliane kwa sababu nisha seti mahari ambapo wananiambia naweza pata even gunia 30, ila kinacho takiwa ni kuwahi wakati inavunwa kabla haijapelekwa store.

Hiyo ya kulisha from Two week ndo naisikia kwako since mimi huwa nawalisha from week 6 na kuendelea, na natumia shairi pekee.
 
The truth is ive never kept broilers but given their short time required to reach tableweight I can only advise to utilise fodder kama supplement sio main feed.Still bado unaweza kupunguza gharama.Kuna rafiki yangu anachanganya 1:3 from 4 weeks na wanakua wakubwa.
 
Ive come to learn tht Watanzania are so skeptical while we Kenyans are daredevils...experimentals.Instead of embracin new ideas and tryin out pple be like "yule anajiona anajua....hakuna lolote" The only place hydroponics doesnt work for me ni kwa mbwa ninaowafuga but bado nachunguza kama inawezekana nao pia niwarushie kidogo:becky:
Niliambiwa niende kariakoo mashimoni labda ningepata barley bt nlikosa so definately will appreciate if yu link me up wid a few bags.Im hopin since the farmers are under contract the prices are lower cz beer firms just swindle guys.
At wek 2 naanza kuchanganya na chick marsh by 3rd week 100% transition though nawapa pia na earthworms na funza ambao pia "nawafuga".
 

huu ni utajiri, napenda nifahamu zaidi
 
msaada kama naweza kupata hizi nutrients;
BIOACTIVE MICROBES,
HB-101,
VEGIMAX,
NATURAL SALT
 
Mkuu chasha hongera kwa jitihada zako. .keep it up. .wabongo tu wabishi na wavivu wa kufanya utafiti.
 

Shairi inapatiakana Moshi kilo ni Tsh 700 so cheki unaweza chukua kilo ngapi
 
Wakuu kuna watu walikuwa wanaulizia Shayri, kuna kiasi inapatiakana Arusha kilo ni Tsh 700/ hivyo sema unahitaji kiasi gani, inaweza safirishwa, Shyri ndo recomended kwa ajiri ya Hydroponic fodder kwa sababu ina virutubisho vyote na Kilo 2 ya hydroponic fodder ni sawa na Kilo 1 ya Chakula cha Dukani.

 
Sijakupata kwa uzuri mkuu Chasha Poultry Farm maana kwenye ule uzi wetu ulisema kilo inauzwa tsh700, so hapa unamaanisha shehena iliyopo ni 700kgs au bei?
Mi ntahitaji kiasi na wiki ijayo nitakuja Arusha shambani kwako kuchukua ujuzi.
 
Last edited by a moderator:
Sijakupata kwa uzuri mkuu Chasha Poultry Farm maana kwenye ule uzi wetu ulisema kilo inauzwa tsh700, so hapa unamaanisha shehena iliyopo ni 700kgs au bei?
Mi ntahitaji kiasi na wiki ijayo nitakuja Arusha shambani kwako kuchukua ujuzi.
Kilo moja ni Tsh 700/ nazani ni typing tu
 
Kilo moja ni Tsh 700/ nazani ni typing tu

Hapo nimekupata mkuu, na kwa uzoefu wako kuku 500 wanaweza kula kg ngapi za hiyo fodder kwa kipindi cha miezi miwili? make nina idadi ya kuku hao ambao wana miezi miwili tayari so nataka niwaboost na hydroponic fodder kabla hawajaenda sokoni.
 
Hapo nimekupata mkuu, na kwa uzoefu wako kuku 500 wanaweza kula kg ngapi za hiyo fodder kwa kipindi cha miezi miwili? make nina idadi ya kuku hao ambao wana miezi miwili tayari so nataka niwaboost na hydroponic fodder kabla hawajaenda sokoni.
kipimo ni kile kile cha chakula cha kuku, kama kuku anakula grma 125 kwa siku basi unacalculate, ila shayri ukiotesha kilo 2 ikifikia kuliwa inakuwa na hadi kilo 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…