Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenishawishi sana tafika hapo arusha kujifunza kutoka kwako nimechukua namba yako kutoka kwenye ule uzi mwingine.
how much it costs?
Mkuu mbona umekimbilia katika bei?kwa nini usijiulize tu kwanza unaweza kutengeneza vipi huo mtambo kwa kutumia vifaa tulivyonavyo?anyway nnachotaka kusema ni kwamba hapo juu mimi naona vifuatavyo:FENI,8 CONTAINERS,MAINFRAME YA CHUMA,PVC PIPES,na ukiangalia hapo kushoto kwenye hiyo pipe utaona imetoka chini inaenda juu hii inamaanisha somewhere kuna WATER PUMP,naamini vitu vyote hivi vinapatikana na vinatengenezeka kwa urahisi zaidi,kwa mfano kwenye hiyo MAINFRAME ya chuma,sio lazima kutumia chuma,ingewezekana kujenga frem ya mbao na yenye ngazi kama inavyoonekana,hizo containers ni aluminium au plastic unaweza kwenda kwa mafundi sufuria wanakutengenezea hizo containers kwa urahisi kabisa au hata pale ALAF,hizo pipes zipo kwenye maduka ya hardwares kibao,na water pump ndogo kabisa zipo.
"Do not think inside the box or outside the box....just remove the box and think freeely"
Mtoa mada njoo utoe taarifa ya upatikaji wa mbengu
Hizi mbegu zipo na zinapatikana kwa wingi kilimanjaro(west),inauzwa kilo kuanzia 500-1000 tsh inategemea na msimu,unaweza ukanunua idadi yoyote ya gunia unazotaka alafu unahifadhi,mimi niko dsm nnazo kilo 100 tayari.
Unauhakika? ninavyo jua kule wanalima kilimo cha mkataba na hawalimi kama watu wanavyo lima mahindi, ile ni contract framing na kabla hawajaanza kulima unakuta wameisha kubaliana na mnunuzi na huwa TBL wanafahamu kabisa mkulima fulaini atavuna gunua kadhaa, na bei yao iko juu sana kwa sababu TBL na SBL hufuata mzigo shambani sasa kama unaweza shindana na TBL au SBL sawa