Hydroponic fodder, Mkombozi pekee wa wafugaji wa ng'ombe, kuku, nguruwe, mbuzi na kadhalika

Nimekupata Mkuu Chasha Poultry Farm, vp kuhusu wale kuku wa kienyeji kutoka Israel ushawapata? shayiri ntanunua pia nakuja na "mpunga" kwajili ya kununua kuku kadhaa hapo kwako, just keep for me something that suites you plz!
 
Last edited by a moderator:
chasha vp mkuu? samahani,..nachanganya mada kidogo,mayai ya dorep unayo?
 
Pm Mr.
Future bilionear
 
Hii kitu inahitaji very diluted fertilizer, kwa kifupi inahitaji utafiti binafsi kwa kila zao. Nitaanza kuzalisha fodder soon baada ya experiment zangu kuiva.
 
Mkuu ni pm namba yako nikutafute, nahitaji hii kitu kwa experiments zangu
 
Very interested kwa alipo dar na ameshajari hii kitu naomba nimtembelee nikajionee na kujifunza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…