Hii tushaijadili tukachoka
Ndio katoka jela leo uyu msameheni.
Duhh! Jamani, I am a man, right! ila jamani, Wema is like my sister.
Kwani si kaambiwa ukweli shida iko wapi?
kusema ukweli ndo hamfai?
kweli...
sijaona usengenyaji hata kidogo!
Diamond kaanza kuelimika!
Wema hajadhalilishwa kwa lolote kapewa makavu yake
anaendekeza mashost wasio na maana kila siku yupo club kama vile hajielewi
hivi hata akiolewa tutasema diamond kapata jiko au kapata club