I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it

I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Posts
4,058
Reaction score
1,373
If this is true! Huyu jamaa hakufai. Kwanza hajui kama umaarufu alionao kila unapotajwa wewe na jina lake ndio unaongezeka. Tafuta Mwengine! You can stand alone without him. This is too much! Enough is Enough!

USOME UJUMBE HUO HAPA CHINI:
attachment.php

Source: DIAMOND AMPIGA VIJEMBE WEMA SEPETU
 

Attachments

  • platnumz.JPG
    platnumz.JPG
    39.9 KB · Views: 5,492
MZIMU
Waache mmallaya wafanye yao kila mmoja kavutiwa na ummalaya wa mwenzake. Acha kujisumbua hawashauriki hao mallaya sugu
 
Last edited by a moderator:
Asie funzwa na *****, hufunzwa na ulimwengu, wenzake wengi walishapoteaga katika ramani ya muziki. Kiki yako inamsaidia sana!
 
Kumbe hadi wanaume hawapendani? Nilijua wanawake peke yetu ndo hatupendani na hatupendi kuona wenzetu wana maendeleo....!!!!!?
 
Lakini I find diamond very right in his standings.

Alichokizungumza ni sahihi kabisa. Au mlitaka afanyaje. Anahakikisha Wema anakula vizuri, anavaa vizuri, analala pazuri, na mtaji anampatia.

Sasa mlitaka afanyaje zaidi ya hapo.

Wema ni wale Mademu mzigo. Type hiyo niko familiar nayo. Hata mm nilishawahi kukutana nayo.

Tupa kuleeeee.
 
Kim nana mr gentleman Dinazarde matumbo Dinazarde allydou kitorontomc Evelyn Salt
Duhh! Jamani, I am a man, right! ila jamani, Wema is like my sister, i feel bad huyu dogo anasafiria nyota ya Wema, akifanikiwa ana sahau. Alipokua na Penny alisha anza kuchuja. Alipo ona anataka kutoa single akamtafuta na malavi davi mengi, alipopata tuzo kibao akatangaza na ndoa. Sasa anahisi yuko juu anamdhalilisha. Hapa msio pendana ni nyinyi wanawake. Sisi hua tuna ambiana ukweli tu.
 
Last edited by a moderator:
MZIMU
Weeeeeeee mtue Daimond kabisa dai anasafiria nyota yake mwenyewe, wema ana nyota ganiii!!?? Ya umalaya? Ya kula unga!!? Ya kutojishughulisha nayo ni nyota???kupanga mabuzi au madanga hana nyota huyo dai anahitaji mwenyewe kufika hapo alipo Wema angekua na nyota ingemsaidia mwenyewe
Kwanza huyo mama ubaya wenu anajipendekeza kwa domo ndio maana domo anajibu atakavyo wema ashamganda domo kama baba yake mfyuuuuuuuuu (warumi's voice)
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom