I Advice Wema to ditch this guy, he's not worth it

MZIMU
Nnavompenda wema hata diamond hafiki, ila sipo katika team yeyote ile
 
Last edited by a moderator:
MZIMU
Kwahyo mtu akimahauri huyo malaya unaambiwa timu nini .Diamond naye timu nini si kwa kuwa kamshauri. Mwambie huyo Wema biashara ya mwishowe ni kunywa mbaazi tu.
 
Last edited by a moderator:
ROBERT MICHAEL
Duh! Saa nyingine chuki kama hizi ni ishara ya Mapenzi yaliokosa mlango wa kutokea. Malaya??? Khaaa!!! Si kila mtu ni Malaya siku hizi ila hatujuani tu. Umalaya ni kama Wendawazimu, kila mtu ana ka degree flani cha Umalaya au Uwendawazimu.
 
Kuna kitu gani Wema ninachotakiwa kumsifia labda kiasi cha kwamba nikasema amekuwa mfano kwa familia yake pamoja na jamii yetu.
 
Kuna kitu gani Wema ninachotakiwa kumsifia labda kiasi cha kwamba nikasema amekuwa mfano kwa familia yake pamoja na jamii yetu.

Kwani wewe unakitu gani cha kukusifia kwamba tukasema ni mfano kwa familia yako, achana na kua member wa JF, kitu kingine!
 
Kwani wewe unakitu gani cha kukusifia kwamba tukasema ni mfano kwa familia yako, achana na kua member wa JF, kitu kingine!

Ni jibu kwanza swali langu kuhusu huyo mtu wako uliyeniambia namchukia labda kuna vitu vyema alivyofanya mimi sivijui.Kumbuka wewe na mimi tuna id fake liweke kwenye ubongo wako hilo.
 
"Ditch this guy is not worth it" for the record

He doesn‘t worth it!!!'????¿¿¿¿

What is going on? Sijawapata wadau??
I said, Wema, Ditch this Guy! He doesn't Worth it!. Kuna shida yoyote?? Doesn't = Does not.

Doesn't or Don't?
Doesn't, does not, or does is used with the third person singular--words like he, she, and it.
Don't, do not, or do is used for other subjects.

Incorrect: It don't matter anymore.

Correct: It doesn't matter anymore.

Incorrect: Grandfather don't see too well.
Correct: Grandfather doesn't see too well.

Correct: His glasses don't help him much.

Vipi, Lugha Gongana??
 
Ni jibu kwanza swali langu kuhusu huyo mtu wako uliyeniambia namchukia labda kuna vitu vyema alivyofanya mimi sivijui.Kumbuka wewe na mimi tuna id fake liweke kwenye ubongo wako hilo.

Mkuu nimesema Unampenda kupita maelezo ndio maana unahisi unamchukia!
 
Mkuu nimesema Unampenda kupita maelezo ndio maana unahisi unamchukia!

Huyo anapendwa na watu wenye tabia kama zake zile mjini msingi kiuno.Angalia Diamond alivyompa makavu live kumkimbia hawezi maana hajui atakula wapi biashara ya Tin number hana na kichwani hamna ujuzi wowote.Penda maisha ya kuona nyeupe sema nyeupe,nyeusi sema nyeusi kutakuweka uhuru maishani mwako kote mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…