Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Wema kama hajielewi anapenda matanuzi bora angebaki na buzi lake clement akala tu maisha ataachwa tu....
Clement ana watoto wapyaa wema tigo ishachokaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wema kama hajielewi anapenda matanuzi bora angebaki na buzi lake clement akala tu maisha ataachwa tu....
Clement ana watoto wapyaa wema tigo ishachokaaa
Duh! Saa nyingine chuki kama hizi ni ishara ya Mapenzi yaliokosa mlango wa kutokea. Malaya??? Khaaa!!! Si kila mtu ni Malaya siku hizi ila hatujuani tu. Umalaya ni kama Wendawazimu, kila mtu ana ka degree flani cha Umalaya au Uwendawazimu.
Kuna kitu gani Wema ninachotakiwa kumsifia labda kiasi cha kwamba nikasema amekuwa mfano kwa familia yake pamoja na jamii yetu.
Kwani wewe unakitu gani cha kukusifia kwamba tukasema ni mfano kwa familia yako, achana na kua member wa JF, kitu kingine!
"Ditch this guy is not worth it" for the record
He doesn‘t worth it!!!'????¿¿¿¿
Ni jibu kwanza swali langu kuhusu huyo mtu wako uliyeniambia namchukia labda kuna vitu vyema alivyofanya mimi sivijui.Kumbuka wewe na mimi tuna id fake liweke kwenye ubongo wako hilo.
Wema kama hajielewi anapenda matanuzi bora angebaki na buzi lake clement akala tu maisha ataachwa tu....
Mkuu nimesema Unampenda kupita maelezo ndio maana unahisi unamchukia!
Jamani huyu mtoto wako hajambo, nampendaga bure tu
Kwa mbali huwa namfananisha na sintah