hakika wewe ni MZIMU kweli, sikuwahi dhani kama kuna binadamu chini ya hili jua mwenye mawazo dhaifu kama wewe, so what u r trying to say ni mtu mwenye nyota kali hahitaji tena kufanya kazi?basi huyo jini, an let me remind u wimbo uliopaisha sana dai ni ngololo, by that time hakuwa na wema, wema karudiana na dai wakati dai yupo kwenye pick, wema alikuwa na kipindi cha TV wakati akiwa na cleme, walipoachana na kipindi kikafa, unajua ni kwanini kilikufa? aliyekishimamisha kipindi ni cleme sio wema, mbona baada ya cleme kuondoka hakuweza kusonga mbele?? unaweza niambia hiyo nyota yake kali ilikuwa wapi??? na mpaka leo wema ameendelea kushuka, na ndio maana dai kamshtukia, UKWELI NI KWAMBA WEMA SHE CAN NOT STAND ON HER OWN. hajakuzwa hivyo, hajafunzwa hivyo, chakufanya ni kumfunza sasa acheni kuleta ushabiki maandazi hapa, wema hana cha nyota wala mwezi. na kama anayo basi na tuione ikimletea maendeleo yeye, sio maendeleo apate diamond mseme ni nyota ya wema imemletea, hakunaga kitu kama hicho.
Diamond yuko sahihi kabisaa,
maisha ni kutafuta, sasa kama MTU anaonyesha uvivu wa hali ya juu ni lazima aambiwe.
Mwanamke kujishughulisha atii.
Umeongea point nzuri kiufupi umefanya conclusion of this thread.if i were JK i could add u in BMK
Nimesomaaa weeee ila dah wema kiukweli karogwa....ivi wewe unadhani alivyotoka na clement vile mume wa mtu...mkewe yupo tu nyumban anaangalia tu....kwakua yeye zezeta huyo mkewe...sindio?wema karogwa au kafungwa na maombi ya wake za wanaume wote aliowalia hela zao...ndo maana maisha yake hayana mwelekeo hata kidogo....wema ni wakujibweteka tu na ataishia ivyo ivyo...labda asomewe dua au anything ya kumsaidia....na pia kua na diamond sio kwamba diamond hawez kumuacha mademu wa mjini wanaroga sana tena sana ili kubaki na vijembe vyao vinavyowaweka mjini....juzi wema alienda kwa mganga na aunty ezekiel kuna watu walimspot...na alitiwa na huyo mganga kuweka zindiko ili diamond akitia hpo aaah mnato tosha yani hawez banduka...alafu diamond is so right yaan nimependa kila ktu alichosema hapo...diamond kaelimika sana tena sana....and time will tell...walikuwepo wakina sinta saivi wako wapi jmaniiii....anajikongoja ila kama angetulia angefanya mengi sana....
Mimi sijakataa kua Dimondi yuko sahihi, tatizo ni tabia yake ya kuongelea mambo yake na mwenza wake hadharani. Hii tabia katika mahusiano sio sahihi. Mbona wema yeye kila anavyo semwa hatoi siri ya zao za ndani. Hicho tu ndio kinacho nikera mimi. Kama ni ushauri, kwani nilazima sisi tujue anamshauri nini. Ndio maana tukasema hua dogo anatafuta kiki kwa jina la WEMA. Mara katoa audio ya Wema akimuomba Msamaha, mara katoa instagram, eti wema anapenda starehe na kubweteka. Yote hayo ya nini? kama penzi limeisha si Mmwagane tu kimya kimya.
Men! It seems English is a serious Problem here at JF. I'm Sorry guys, you need to go back to school. My Sentence is Grammatically correct for those who know what I'm talking about.
CC. JF members
Man! i cant keep on arguing... ukipata muda fanya Research
Si nime wawekea na ushahidi. Matokeo yake Moderator wako, sijui kasoma wapi hicho kingereza chake, ananichanganyia Madawa kwa kubadilisha heading yangu eti '' I Advice Wema to ditch this guy, he is not worth it''. Nyie watu msinitanie. Hiyo English Mmesoma wapi?. Hiyo Grammer ya wapi?.
Hivi wema yupo jamani maana baada ya lile dongo la shem kawa adim hasa insta zimebaki team zake ndio zinapost tu
Hahaha chezea dongo weweeee....