hakika wewe ni MZIMU kweli, sikuwahi dhani kama kuna binadamu chini ya hili jua mwenye mawazo dhaifu kama wewe, so what u r trying to say ni mtu mwenye nyota kali hahitaji tena kufanya kazi?basi huyo jini, an let me remind u wimbo uliopaisha sana dai ni ngololo, by that time hakuwa na wema, wema karudiana na dai wakati dai yupo kwenye pick, wema alikuwa na kipindi cha TV wakati akiwa na cleme, walipoachana na kipindi kikafa, unajua ni kwanini kilikufa? aliyekishimamisha kipindi ni cleme sio wema, mbona baada ya cleme kuondoka hakuweza kusonga mbele?? unaweza niambia hiyo nyota yake kali ilikuwa wapi??? na mpaka leo wema ameendelea kushuka, na ndio maana dai kamshtukia, UKWELI NI KWAMBA WEMA SHE CAN NOT STAND ON HER OWN. hajakuzwa hivyo, hajafunzwa hivyo, chakufanya ni kumfunza sasa acheni kuleta ushabiki maandazi hapa, wema hana cha nyota wala mwezi. na kama anayo basi na tuione ikimletea maendeleo yeye, sio maendeleo apate diamond mseme ni nyota ya wema imemletea, hakunaga kitu kama hicho.